Mpangilio wa kuwasiliana kwa kutumia lugha.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mtafiti alichunguza mfumo lugha wa jamii hiyo.
Language system; an organised means of communication through language.
Nomino
Example
The researcher examined that community's language system.
Système linguistique; organisation permettant de communiquer au moyen du langage.
Nomino
Exemple
Le chercheur a étudié le système linguistique de cette communauté.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi