Maana 1
Kukata au kung'ata kitu vipande vidogo vidogo kwa kutumia meno au mikono.
Mfano wa matumizi: Alimega mkate na kumpa mtoto wake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.