Kifaa cha kuingiza picha au maandishi ya karatasi kwenye kompyuta.
Nomino
Mfano wa matumizi
Afisa alitumia mdaki kunakili hati kwenye kompyuta.
Scanner; a device converting images or text into computer-readable data.
Nomino
Example
The officer used a scanner to copy the document into the computer.
Scanner; appareil convertissant images ou textes en données numériques.
Nomino
Exemple
L'agent a utilisé un scanner pour copier le document dans l'ordinateur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi