Maeneo yaliyotengwa kuwalinda wanyamapori katika makazi yao.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wanafunzi walijifunza umuhimu wa mbuga za wanyama.
Wildlife parks; protected areas where wild animals live without being hunted.
Nomino
Example
The students learned the importance of wildlife parks.
Parcs animaliers naturels; espaces protégés où la chasse aux animaux sauvages est interdite.
Nomino
Exemple
Les élèves ont appris l'importance des parcs de protection de la faune.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi