Maana 1
Neno la kuuliza sababu au chanzo cha jambo, hasa likitumika kuuliza kwa mshangao au kutaka ufafanuzi.
Mfano wa matumizi: Mbona hujafika shuleni leo?
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.