Maana 1
Neno linalotumika kuashiria vitu au watu wa ngeli ya KI-VI vilivyo karibu na mzungumzaji.
Mfano wa matumizi: Hivi vitabu ni vipya.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.