mbe!

0

1. Tamko la kuonyesha jambo limefikia mwisho.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Mbe! Hadithi yetu imekwisha.

2. Tamko la kumtaka mtu aache anachofanya.

Kihisishi
Mfano wa matumizi Mbe! Acha kuvuta kitambaa hicho.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →