Maulidi

0

1. Kisomo kinachosimulia maisha ya Mtume Muhammad.

Nomino
Mfano wa matumizi Walimsikiliza msomaji akisoma Maulidi.

2. Mkusanyiko wa Waislamu kwa kisomo cha maisha ya Mtume Muhammad.

Nomino
Mfano wa matumizi Familia ilialika majirani kuhudhuria Maulidi.

3. Sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad.

Nomino
Mfano wa matumizi Maulidi iliadhimishwa kwa shughuli za kidini.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →