mashindano

0

1. Michezo ya timu zinazowania tuzo au ushindi.

Nomino
Mfano wa matumizi Shule iliandaa mashindano ya mpira.

2. Hali ya watu kuwania kitu kilekile.

Nomino
Mfano wa matumizi Kulikuwa na mashindano ya kupata soko.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →