mapinduzi

0

1. Kuondolewa kwa watawala madarakani, mara nyingi kwa nguvu.

Nomino
Mfano wa matumizi Mwanahistoria alichunguza mapinduzi hayo.

2. Mabadiliko makubwa ya namna kazi inavyofanywa.

Nomino
Mfano wa matumizi Teknolojia ilileta mapinduzi katika uchapaji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →