Mpangilio wa mawazo unaojenga hoja yenye kueleweka.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwalimu alichunguza mantiki ya hoja.
Logic; an ordered relationship of ideas supporting an argument.
Nomino
Example
The teacher examined the argument's logic.
Logique; enchaînement ordonné d'idées soutenant un raisonnement.
Nomino
Exemple
L'enseignante a examiné la logique de l'argument.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi