Meli iliyotengenezwa kwa shughuli za kivita.
Nomino
Mfano wa matumizi
Manowari ilisimama bandarini.
Warship; a naval vessel used for military operations.
Nomino
Example
The warship stood in the harbour.
Navire de guerre; bâtiment naval destiné aux opérations militaires.
Nomino
Exemple
Le navire de guerre se trouvait au port.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi