1. Ingia katika jambo au mazungumzo yasiyokuhusu.
Kitenzi2. Lia kwa sauti kubwa yenye kwikwi.
Kitenzi3. Mafungu ya mia moja katika hesabu.
Nomino1. Intrude; interfere in a discussion or matter that does not concern one.
Kitenzi2. Sob loudly; cry with loud broken gasps.
Kitenzi3. Hundreds; groups or place values of one hundred.
Nomino1. S'immiscer; intervenir dans une conversation ou une affaire qui ne vous concerne pas.
Kitenzi2. Sangloter bruyamment; pleurer avec de fortes reprises de souffle.
Kitenzi3. Centaines; groupes ou valeurs de position de cent.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi