Mwanamke anayepika na kuuza chakula katika sehemu ndogo za biashara.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mamalishe aliandaa wali na maharage.
Food vendor; a woman selling prepared meals, often from a small stall.
Nomino
Example
The food vendor prepared rice and beans.
Vendeuse de repas; femme proposant des plats préparés, souvent dans un petit étal.
Nomino
Exemple
La vendeuse de repas a préparé du riz et des haricots.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi