maksai

Ng'ombe dume mkubwa aliyekomaa na hutumiwa kuvuta jembe au zana nyingine za kilimo shambani.

Ng'ombe dume mkubwa anayefugwa kwa ajili ya kazi shambani.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili