Maji yaliyochafuliwa na uchafu wa mwili wa binadamu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mfereji ulipitisha majitaka.
Sewage; water contaminated with human bodily waste.
Nomino
Example
The drain carried sewage.
Eaux usées fécales; eau contaminée par les déchets corporels humains.
Nomino
Exemple
Le conduit évacuait les eaux usées fécales.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi