Maana 1
Mtu anayefanya biashara ndogo ndogo, hasa akiuza bidhaa barabarani, sokoni au maeneo ya wazi bila kuwa na duka la kudumu.
Mfano wa matumizi: Machinga wengi huonekana katikati ya jiji wakiuza bidhaa mbalimbali.

Mtu anayefanya biashara kwa kutembea au kubeba bidhaa zake, badala ya kusubiri wateja mahali pamoja.
Mfano wa matumizi: Machinga huyo hutembea na bidhaa zake mtaa kwa mtaa kutafuta wateja.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.