Mazoezi ya wanajeshi ya kutumia mbinu za mapambano.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wanajeshi walifanya luteka katika eneo la mafunzo.
Military manoeuvres; exercises practising methods of warfare.
Nomino
Example
The soldiers conducted manoeuvres in the training area.
Manœuvres militaires; exercices mettant en pratique des méthodes de combat.
Nomino
Exemple
Les soldats ont effectué des manœuvres dans la zone d'entraînement.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi