Kusanya vitu sehemu moja bila kuvipanga.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Wafanyakazi walilundika magunia ghalani.
Heap up; put things together without orderly arrangement.
Kitenzi
Example
The workers heaped the sacks in the store.
Entasser; réunir des choses sans ordre précis.
Kitenzi
Exemple
Les ouvriers ont entassé les sacs dans le magasin.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi