loa

0

1. Okoa au vuta kitu majini kwa ndoana.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Wavuvi waliloa samaki ziwani.

2. Ingiwa na maji hadi kuwa chepechepe.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nguo zililoa kwa mvua.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →