1. Pungua kwa kusuguliwa au kusagika taratibu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Soli zililika kwa kutumika muda mrefu.
2. Kuwa katika hali inayofaa kuliwa.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Matunda haya yanalika sasa.
1. Wear away; diminish gradually through friction.
Kitenzi
Example
The soles wore away after long use.
2. Be edible; be fit to eat because of ripeness, cooking or sound condition.
Kitenzi
Example
These fruits are edible now.
1. S'user; diminuer progressivement par frottement.
Kitenzi
Exemple
Les semelles se sont usées après une longue utilisation.
2. Être comestible; pouvoir être mangé grâce à son état ou sa maturité.
Kitenzi
Exemple
Ces fruits peuvent maintenant être mangés.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi