Maana 1
Sharti au agizo ambalo halina budi kutekelezwa; jambo linalopaswa kufanywa bila kukwepeka.
Mfano wa matumizi: Kuvaa sare shuleni ni lazima kwa wanafunzi wote.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.