Maana 1
Kumweka mtu au kitu chini ili apumzike au alale.
Mfano wa matumizi: Mama alimlaza mtoto kitandani baada ya kumlisha.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.