labibu

0

1. -enye ustadi na uerevu katika kufanya jambo.

Kivumishi
Mfano wa matumizi Shairi lilimsifu fundi labibu.

2. -enye maarifa, hekima na uwezo mkubwa wa kufahamu.

Kivumishi
Mfano wa matumizi Mshairi aliomba ushauri kwa mzee labibu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →