Kifaa kirefu cha chuma cha kufyekea majani.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mfanyakazi alifyeka nyasi kwa kwanja.
Slasher; a long-bladed tool for cutting grass and undergrowth.
Nomino
Example
The worker cut the grass with a slasher.
Serpe de débroussaillage; outil à longue lame pour couper l'herbe et les broussailles.
Nomino
Exemple
L'ouvrier a coupé l'herbe avec l'outil de débroussaillage.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi