Maana 1
Aliye na furaha, uchangamfu na matumaini; asiye na huzuni wala wasiwasi.
Mfano wa matumizi: Watoto walikuwa wakicheza kwa nyuso zilizokunjufu.
Aliye na furaha, uchangamfu na matumaini; asiye na huzuni wala wasiwasi.
Mfano wa matumizi: Watoto walikuwa wakicheza kwa nyuso zilizokunjufu.
Aliye na moyo wa ukarimu na upole, hasa katika kuwatendea wengine mema.
Mfano wa matumizi: Alimkaribisha mgeni kwa uso mkunjufu na maneno ya faraja.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.