Maana 1
Kumtendea mtu hila au udanganyifu kwa makusudi ili apoteze mali, haki au kupata hasara.
Mfano wa matumizi: Alilaghai watu wengi kwa ahadi za uongo na kuchukua fedha zao.
Kumtendea mtu hila au udanganyifu kwa makusudi ili apoteze mali, haki au kupata hasara.
Mfano wa matumizi: Alilaghai watu wengi kwa ahadi za uongo na kuchukua fedha zao.
Kufanya ujanja au kutumia mbinu zisizo halali ili kujinufaisha au kupata kitu kisicho stahili.
Mfano wa matumizi: Watu wasio waaminifu hulaghai serikali kwa kutoa taarifa za uongo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.