kreti

0

1. Sanduku la kuhifadhia na kubebea chupa za vinywaji.

Nomino
Mfano wa matumizi Mfanyabiashara alipanga chupa ndani ya kreti.

2. Sanduku la mbao la kusafirishia bidhaa kama matunda.

Nomino
Mfano wa matumizi Nyanya ziliwekwa katika kreti la mbao.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →