koleza

0

1. Lipa deni au mkopo kwa niaba ya mwingine.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Nambasa alimkoleza ndugu yake deni.

2. Tia vikolezo katika chakula.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mpishi alikoleza mchuzi kwa tangawizi.

3. Ongeza kuni ili moto uwake kwa nguvu zaidi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alikoleza moto kabla ya kuweka sufuria kubwa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →