koga

0

1. Tamba au onyesha maringo mbele ya watu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alikoga mbele ya wenzake kwa mavazi mapya.

2. Uchafu wa mwili unaoganda au kuchafua nguo.

Nomino
Mfano wa matumizi Alisugua koga kwenye ukosi wa shati.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →