kofi

0

1. Pigo linalotolewa kwa kiganja cha mkono.

Nomino
Mfano wa matumizi Katika tamthilia, mhusika alipewa kofi.

2. Pigo la viganja viwili pamoja la kuonesha furaha au kupongeza.

Nomino
Mfano wa matumizi Watazamaji walimpigia mshairi makofi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →