kizinda

Mwanamke ambaye hajawahi kushiriki tendo la ndoa au hajaingiliwa kimwili na mwanaume.

Mwanamke ambaye bado ni bikira.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
bikira

Vinyume

1 jumla
mama