kitoweo

Chakula kinacholiwa pamoja na chakula kikuu kama mboga, nyama, samaki au vitu vingine vinavyoongezwa ili kuongeza ladha na virutubisho.

Chakula cha ziada kinacholiwa pamoja na chakula kikuu ili kuongeza ladha na virutubisho.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
mboga

Methali zinazotaja neno hili

1 jumla
  • Mkosa Kitoweo Humangiria

Asili ya neno

Kiswahili