Mtoto wa mwisho kuzaliwa kwa mama mmoja.
Nomino
Mfano wa matumizi
Kitindamimba wa familia hiyo alipenda kusoma.
Last-born child; the final child born to a mother.
Nomino
Example
The family's last-born child loved reading.
Dernier-né; dernier enfant mis au monde par une même mère.
Nomino
Exemple
Le dernier-né de cette famille aimait lire.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi