kitibegi

Begi dogo linalotumika kubebea vifaa na mahitaji ya matibabu, hasa na wahudumu wa afya wanapotoa huduma nje ya kituo cha afya.

Begi maalumu la kubebea vifaa vya matibabu.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kitenzi 'tiba' + Kiambishi awali 'ki-' + Kiambishi tamati '-begi'