Kutetemeka kwa mwili kutokana na baridi, maradhi au hofu.
Nomino
Mfano wa matumizi
Baridi ya alfajiri ilimletea kitapo.
Trembling; bodily shaking caused by cold, illness, shock or fear.
Nomino
Example
The dawn cold made her tremble.
Tremblement; secousses du corps dues au froid, à la maladie, au choc ou à la peur.
Nomino
Exemple
Le froid de l'aube l'a fait trembler.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi