Maana 1
Kwa namna ya siri sana; bila kujulikana na watu wengine.
Mfano wa matumizi: Aliondoka kisirisiri bila mtu yeyote kumuona.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.