Pesa zinazotolewa kabla ya malipo kukamilishwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mteja alitoa kishanzu kwa ajili ya samani.
Advance payment; an amount paid before the balance is settled.
Nomino
Example
The customer paid an advance for the furniture.
Acompte; somme versée avant le règlement du solde.
Nomino
Exemple
Le client a versé un acompte pour les meubles.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi