Kifaa cha kuendeshea mashine kwa mbali.
Nomino
Mfano wa matumizi
Uwase alitumia kisengeretua kupunguza sauti ya televisheni.
Remote control; a device operating equipment from a distance.
Nomino
Example
Uwase used the remote control to lower the television volume.
Télécommande; appareil commandant un équipement à distance.
Nomino
Exemple
Uwase a utilisé la télécommande pour baisser le volume du téléviseur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi