Kujifanya kutotaka kitu ambacho moyoni unakitamani.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alikubali zawadi bila kisebusebu.
Feigned reluctance; pretending not to want something one desires.
Nomino
Example
She accepted the gift without feigned reluctance.
Réticence feinte; prétendre ne pas vouloir ce que l'on désire.
Nomino
Exemple
Elle a accepté le cadeau sans réticence feinte.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi