kirekodisauti

Kifaa kinachotumiwa kuhifadhi sauti kwa njia ya kielektroniki ili iweze kusikilizwa baadaye.

Kifaa cha kurekodi na kuhifadhi sauti.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili (kirekodi + sauti)