Andazi linalochovywa katika shira kisha kuchomwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wageni walipewa kipopoo pamoja na chai.
Syrup-coated pastry; a bun dipped in sugar syrup and then roasted.
Nomino
Example
The guests were served syrup-coated pastries with tea.
Pâtisserie au sirop; petit pain plongé dans un sirop puis grillé.
Nomino
Exemple
Les invités ont reçu des pâtisseries au sirop avec du thé.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi