Zawadi kwa aliyepata kitu kilichokuwa kinatafutwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwenye pochi alimpa Rehema kiokosi.
Finder's reward; a gift for locating a lost item.
Nomino
Example
The wallet's owner gave Rehema a finder's reward.
Récompense de découverte; cadeau remis pour avoir retrouvé un objet perdu.
Nomino
Exemple
Le propriétaire du portefeuille a donné une récompense à Rehema.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi