Kisu chenye ncha iliyopinda kama ya jambia.
Nomino
Mfano wa matumizi
Kikotana kilining'inizwa ukutani.
Curved-point knife; a knife whose tip curves like a dagger.
Nomino
Example
The curved-point knife hung on the wall.
Couteau à pointe courbe; couteau dont le bout se recourbe comme celui d'une dague.
Nomino
Exemple
Le couteau à pointe courbe était suspendu au mur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi