kigovya

0

1. Fimbo ndefu yenye panda ya kuangulia matunda.

Nomino
Mfano wa matumizi Mkulima alitengeneza kigovya cha maembe.

2. Fimbo inayotumiwa kupiga mpira katika gofu.

Nomino
Mfano wa matumizi Aliweka kigovya kwenye mfuko wa michezo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →