kifunguakinywa

Chakula au kinywaji kinachotumiwa asubuhi kabla ya shughuli za siku kuanza.

Kifunguakinywa ni mlo wa asubuhi kabla ya shughuli za siku.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiambishi awali ‘ki-’ + ‘fungua’ + ‘kinywa