Chombo kilichofumwa kwa ajili ya kuchujia nazi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alikamulia nazi katika kifumbu.
Coconut strainer; a woven container used to extract coconut milk.
Nomino
Example
She squeezed coconut through the woven strainer.
Filtre à coco; récipient tressé servant à extraire le lait de coco.
Nomino
Exemple
Elle a pressé la noix de coco dans le filtre tressé.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi