Maana 1
Kufanya jambo au kutoa kitu ili liwe sawa na mahitaji, masharti, au matakwa yaliyowekwa.
Mfano wa matumizi: Mwanafunzi alikidhi vigezo vya kujiunga na chuo kikuu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.