Mtoto aliyezaliwa mwisho katika familia.
Nomino
Mfano wa matumizi
Kichinjamimba wao anasoma Morogoro.
Last-born child; the youngest child born in a family.
Nomino
Example
Their youngest child studies in Morogoro.
Dernier-né; enfant né en dernier dans une famille.
Nomino
Exemple
Leur dernier-né étudie à Morogoro.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi