kichanio

Kifaa chenye meno madogo, hutengenezwa kwa plastiki, mbao au chuma, na hutumika kuchania na kutengeneza nywele au ndevu.

Kifaa cha kuchania nywele au ndevu, chenye meno madogo.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
kichanuo

Asili ya neno

Kiswahili